Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Hilo gari sio la watu 2 tu huko nyuma huwa linaweza kukunjuka kukapatikana nafasi nyingine ya watu 3 na boot. Liko very automatic.Pia lina features nyingi tu ambazo magar mengi hayana.
 
Tena hao wanawapa taabu sana wale jamaa wa Parking kwani hayo magari huja na ndege na nwisho wa matanuzi hurudi na hayo magari yao kwao Saudia.

Yaani wamechoka kutoa tickets kwani namba za usajili si za UK.

Kuna sehemu ingine ya matanuzi kule Hide Park utayaona mengi tu na hata polisi hupiga nayo picha.

🙂🙂
 
Ila pia ikumbukwe kuna binadamu wengingine wengi zaidi ya asilimia 90 mlo wa uhakika kuupata ngumu. Hawa 1% percent hawajaligi kabisa. Kuna maduka uswis na Paris soksi tu euro 400. Saa ya mkononi euro elfu 30. Na bado masenge yananunu
Mkuu acha kuendeshwa na mihemuko.
 
Ila pia ikumbukwe kuna binadamu wengingine wengi zaidi ya asilimia 90 mlo wa uhakika kuupata ngumu. Hawa 1% percent hawajaligi kabisa. Kuna maduka uswis na Paris soksi tu euro 400. Saa ya mkononi euro elfu 30. Na bado masenge yananunu
Sasa mkuu unampangia mtu matumizi ya hela yake. Ni hao hao 1% ndio bado wanatusaidia. Sasa mtu aache kufurahia maisha eti abaki tu kusaidia watu tena wenye rasilimali za kutosha kabisa. Hata wewe na mimi na wengine wenye kipato bado hatuwasaidii wenzetu wenye mahitaji na tunapishana nao tu tunakwenda viti virefu na totoz.
 
Mh siamini
 
wenyewe wanaitaga Ramadhan rush,yaani baada ya ramadhan wanaingiza matoy yao London kuja kusumbua,ni vuuuuuuummm vuum.
 
Watu wanajua kutumia madolali bhana
 
Hilo gari sio la watu 2 tu huko nyuma huwa linaweza kukunjuka kukapatikana nafasi nyingine ya watu 3 na boot. Liko very automatic.Pia lina features nyingi tu ambazo magar mengi hayana.
Kama zipi mkuu?
Watoto wa Saddam waliyapenda sana hayo magari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…