Eti hili gari ni dola za kimarekani laki saba

Tena umesahau na kama halipati mimba wasahau kabisa kwangu
 
Mtoa mada,
Una akili za kimaskini sana.

Hilo gari ni zaid ya ulionavyo, lina vikorokocho vya kisasa zaidi kama Autobrakes, Rimote parking, crash sensors n.k

Pia wabongo wengi tumezoea kununua mikweche (used).

Ukivuta Range ya mwaka 2001 yenye Ac kwa visenti kiduchu , kibongo bongo unajiona mjanja na kusumbua RAIA mtaani.

Unasahau kumbe gari yenyewe ni used zaid ya miaka 17 ilopita kule kwa wenzetu.

Hata IST brand new ya mwaka 2018 ukionyeshwa bei yake, Najua lazima tu utapigwa na butwaa.
 
Mkuu kama unapenda siti nyingi na buti kubwa unanunua basi[emoji3][emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…