Eti hili ni penzi ama hisia za penzi??


Hapo hakuna cha penzi wala hisia za penzi!!!!!!!
HIYO NI SITAKI NATAKA!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kawaida yenu mabinti, akisema NO, ndo YES!!!!!!!!!!!!!
 
Dahhhhh penzi la hivi
tamu kwelI ..

Mamii ni bora kuacha moyo
uchague kuliko macho na akili..
sante mpendwa..
 
Mostly its men who fall in love at first site! we ladies tumeumbwa kwa ukamilifu mno,mwanamke lazima uchunguze,uringe,udeke etc,For me I would say big up for that lady coz anajua thamani yake yy ni mwanamke ambae sio cheap,yani kutongozwa siku moja tu ukubali kwani yy changu?hata changu pia lazima myumbishane japo dakika tano.
Hapo mi naona mapenzi yapo tena sana tu,binti kakaaaa kafikiri akaona kwa ukaribu sifa na vigezo alivyokuwa anavitaka kwa huyo mwanaume,akagundua kumbe na yy anampenda huyo kaka,hopefull mkaka akirudi watadumisha mapenzi yao na one day watakuwa Mr & Mrs.............
 
Kumbe nikimtongoza mwanamke akakubali ndani ya siku moja nitoke ndukii :biggrin1::biggrin1:
 

Pearl nimependa sana majibu yako mamy...maana huyu mdada mie nilikuwa nikimwangalia hata simwelewi mpaka alipokuja kunielezea hili janga ..nikabaki nacheka...:A S-rose:
 

Dah hii technique imepitwa na wakati akina dada msipende kuitumia

Mi nilimkomesha mmoja hivi hivi kanizungusha miaka 3 akasema nipeleke barua na nikapeleka kwao ndipo akakubali nimege nikajiexpress mara moja tu na kuchapa mwendo na nimemfungia vioo.
 
Dada kamiss tu mtu wa kujipendekeza kwake...maana kama alikua anachukia mpaka salamu yake sioni anachodhani anakipenda sasa hivi ni nini haswa!!
Ndo yale yale mtu anatongozwa anasema staki ....akipigiwa simu anaona kero alafu mwaume akiamua kuendelea na maisha yake mwanamke anaanza kuhaha na karoho kuuma!!
Hata ikitokea huyo dada akajiaminisha anampenda mshkaji alafu akakubali kua nae swala la kwa she did not like him kwanzia mwanzo and she won‘t like him kesho na kesho kutwa hayo mapenzi yatakua na sehemu moja tu ya kukamatia kitu ambacho sio kizuri!!Uhusiano mzuri ni ule ambao unampenda mtu toka moyoni pia unamLike.

Yani you have love the person and like his/her personality...zaidi y hapo ni ubatili mtupu akitokea atakaependezwa nae kwanzia mwanzo atamwangusha kaka wa watu kama mkaa wa moto!!!
 
atafutae hachoki akichoka kapata!uzuri tunawajua mwenye nia ya kweli na mzinguaji,fine wapo wanaokutana leo kesho wanado for love,ngoja uone kama watakaa,very few will last the rest kushney
 
Hapo hakuna penzi wala nini ni upweke tu ndio unamsumbua huyo dada. Jamaa huyo inabidi aangalie sana asije akaangukia kwa huyo dada!
 
ktk kila tulifanyalo katika maisha yetu lazima tuwe na maamuzi sahihi,sasa watu walitaka akurupuke tu jamani?lazima umsome mtu kwamba sasa hayo mavazi yake ntambadilishaje frm madilu system tu falii pupa,au huo mwendo wake atatoka vipi frm joti to masanja etc kuna vitu lazima uchanganue jamani pia u never no mabye mdada alikuwa anaongea na Mungu wake amuonyeshe njia yote yanawezekana.
Pearl nimependa sana majibu yako mamy...maana huyu mdada mie nilikuwa nikimwangalia hata simwelewi mpaka alipokuja kunielezea hili janga ..nikabaki nacheka...:A S-rose:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…