Eti hili ni penzi ama hisia za penzi??

thats ze begging to her dear.
Then she should have seen those imperfections and accepted them from the begining.Sio unamuona mtu choo leo kesho umajifanya ameshakua sebule.....
 
atafutae hachoki akichoka kapata!uzuri tunawajua mwenye nia ya kweli na mzinguaji,fine wapo wanaokutana leo kesho wanado for love,ngoja uone kama watakaa,very few will last the rest kushney

Miaka 3 nilikuwa natafuta nilipo pata kiu ikaisha
 

According to my mtazamo.....

Mbona alivyomuona mara ya kwanza hakumpenda na alimchukia

Hakumpenda sababu katika sifa na vigezo alivyo jenga huyo mdada kichwani mwake huyo kaka hakua nalo hato moja (yaani physically and the attitude.) Akamuona mshamba na hamfai.

Hajui nini anakitaka kwa huyu kaka

Naamini anajifanya tu hajui, but deep down huyo mdada kisha jua kua kaanguka kwa huyo kaka, wewe unafikiri hio homa inatoka wapi?? Mawazo yamemzidi, sijui atarudi? sijui bado ananitaka? sijui bado ana interest na mimi? e t c.

Hivi ni kweli kuna penzi hapa au hisia ...

Personally naamini mkaka anampenda dada kwa dhati, upande wa mdada zilianza chuki, ikaja hisia kisha mapenzi - kitendo cha kwenda kumuuguza speaks a lot.

By the way FL hope uko poa.
 
kazi kweli kweli mapenzi...hata mababu na mabibi bado yanawasumbua, je mapenzi ni nini??
 
mwambie anampenda sema anachelewesha nafsi yake kumkubalia so mwambie ajiweke waz alafu pia mwambie love is adoptation kaz kwake
 

Mie nachokiona hapa kwa sababu niko mitaa hii ...huyu dada alikuja kwa nia moja ya kufanya kazi pasipo kujiingiza katika mahusiano na mtu yoyote huku akiamini kwa misimamo yake ataweza.
Tatizo likaja kumbe kaka wa watu jicho limeona ila mpaka sasa mbona hajafunia hisia zake kwa huyu dada kama anampenda au lah
Na mbona alienda zake ovasizi bila kumuaga kama anampenda?
Sasa vile visalaam na email labda alikuwa anajiuliza kwanini huyu kaka ananisalimia
Na alipokosa kumuona week ana vile kazoea kupata salam na vimail asivyovipenda akaanza kuvimiss
Uamuzi aliochukua kumtafuta ni moyo ulimsukuma ..kwani hakumjua kaka kiundani ,anaishi vip na mengineyo lakini alienda kumsalimia
Na baada ya kumkuta katika hali ya ugonjwa na kuamua kumsaidia mpaka akapona na kaka wa watu hakusema kitu
na je kwa nini sasa anatamani kumuona hata kusikia sauti yake..
Jibu lake ni...
Penzi ni kitu na cha ajabu kinaweza kuchanua popote na wakati wowote........ ila sasa kwa huyu mdada ndo nakosa kujua kama ni true love or hisia za penzi zinamsukuma kummiss kaka wa watu
 

Asha D niko powah sana my dear sijui wewe na weekend inakwenda namna gani?
 

Nimependa mtazamo wako dear na nakubali uloeleza kuna ukweli ndani yake.... Mini nimeona mara nyingi kuna mashindano saana katika mapenzi - wadada tunataka kuonesha sisi ndo sisi na hatuwezi jishusha saana kwa guys na after all baba zetu walitesa sana mama zetu; Guys at the same time wanajiona wao ndo wao na kulalama wanawake wa siku hizi walivyobadilika.

My take; Kwa mwanaume ambae alikua hampendi huyo dada, alifanya jitihada saana... lakini dada alidengua na alijua fika kua yule kaka anamzimia. Baada ya kulainika kaka kagundua kua dada kalainika badala ya kufurahi na kuwajibika anaanza kuleta pozi (huyo kaka inawezekana hamuamini mdada kua ana mapenzi ya kweli, maana unaelewa familia zetu hizi za kiswahili maisha yenyewe tunapigana tu hivyo mtu akienda ng'ambo tayari anakua considered matawi....)

je kwa nini sasa anatamani kumuona hata kusikia sauti yake..
Jibu lake ni...
Penzi ni kitu na cha ajabu kinaweza kuchanua popote na wakati wowote........
ila sasa kwa huyu mdada ndo nakosa kujua kama ni true love or hisia za penzi
zinamsukuma kummiss kaka wa watu
Hayo maneno yako hapo juu nimeyapenda... ila kuhusu mdada my dear FL1 naamini kapenda.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…