Eti hili ni penzi ama hisia za penzi??

uzuri ni kwamba nyinyi wakina dada mnajuana vizuri,
hoja yako yaweza kuwa na ukweli!!!!!!!!!!!!
 
uzuri ni kwamba nyinyi wakina dada mnajuana vizuri,
hoja yako yaweza kuwa na ukweli!!!!!!!!!!!!

hahahaha wewe mbona hujatoa mtizamo wako Bacha..mbona umepotea sana..?
 
Nilikua nataka niache kuchangia lakini wacha niseme,hapo hakuna mpya hiyo ni tabia ya kike,mara nyingi anaechukiwa ndo anaependwa
 
But kuna wanaume wengine ukimsumbua anakuacha unashangaa ameoa mwingine unabaki kama ulivyo
 
Nilikua nataka niache kuchangia lakini wacha niseme,hapo hakuna mpya hiyo ni tabia ya kike,mara nyingi anaechukiwa ndo anaependwa

tena karibu mabint wote wako hivyo!
 
Hizo ndio hisia zenyewe FL.
Yaani mkaka kashapata mke hapo hadi raha.
 
Umeeleza kwa ufasaha utafikiri mhusika ni wewe...

Kila mtu anapitia njia yake kupata mtu wa kumpenda..Inawezekana ndo hivyo..Nina wasiwasi, kwa sababu hakumpenda in the first place, na alimchukia..
 
Umeeleza kwa ufasaha utafikiri mhusika ni wewe...

Kila mtu anapitia njia yake kupata mtu wa kumpenda..Inawezekana ndo hivyo..Nina wasiwasi, kwa sababu hakumpenda in the first place, na alimchukia..

hahahaha Mpendwa labda nafaa kucheza filamu kumbe naweza kuuvaa uhusika eeh?
mie nimewekwa ndani miaka 25 iliyopita .nina wajukuu sasa
tks
 
Hahaha!!! Fidel bana kama vile unavyokuwa na kiu na maji ukimalizakunywa unatupa chupa kwenye dustbin

Ndo maanake unaaanza kujiuliza hivi ni kwa nini huyu mtu alikuwa ananizungusha?? ni hiki kitu tu?
 
dah! we mkare dadangu!
 
Mi huwa nawashangaa wanaopinga arranged marriages. Ebu ngoja nimpigie dingi nimuulize developments!
 
kama hakumwambia toka mwanzo kabla mshkaji hajenda 'mbele' huko,inaweza kula kwake!vipi kama jamaa atarudi na mke kabisa toka huko,huyu shosti yako si atafariki kabisa?!alizoea kubembelezwa na kufukuzwa fukuzwa na hiyo ilkuwa ina - cover upweke wake,so kinachomsumbua sasa,probably,ni kukosa ile satisfaction aliokuwa anaipata kwa kutongozwa tongozwa.sipendi mwanamke wa sitaki nataka.wengi wa huwa hawajiamini na hawajui nini wanataka kwenye kwenye mahusiano!
 
Unauliza tofauti kati ya Penzi la hisia na hisia za mapenz? Hapo utachemsha kutofautisha ni kazi ya ziada!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…