Eti hili ni penzi ama hisia za penzi??

Hapo hakuna cha penzi wala hisia za penzi!!!!!!!
HIYO NI SITAKI NATAKA!!!!!!!!!!!!!!!!
Kama kawaida yenu mabinti, akisema NO, ndo YES!!!!!!!!!!!!!

kiongozi

nakumbuka kama nilishazungumzia scenario kama hii hapa hapa..

hiyo sitaki nataka itamkosessha mengi....
 


Mazoea hujenga mapenzi. Mapenzi hujenga ndoa na baadae familia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…