jerrysonkiria
JF-Expert Member
- Sep 5, 2014
- 2,228
- 2,901
Nasikia kuwa mwanamke akikuchukia ni amekupenda sana .
Nauliza hivi maana kuna mwanamke hapa karibu na sehemu nilipo ananichukia sijapata kuona chuki ya namna hii .
Wadada wa jamii emu nifumbueni macho kama kuna ukweli wowote.
Na wenzangu na mimi niambieni if kuna kaukweli kokote juu ya usemi huo.