Zee Korofi
JF-Expert Member
- Oct 5, 2021
- 1,604
- 1,430
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Juzi nilikuwa club na rafiki zangu tunapata beer mbili tatu. Mke wangu ni mjamzito wa miezi 6, kwa bahati mbaya nilichelewa kurudi, nilirudi saa 6 huku nikiwa tungi. Sikumbuki ni nini kilitokea baada ya kugonga geti, ila nakumbuka nilishtuka asubuhi nikiwa store nimevimba uso wote.
Pia, mguu wangu wa kushoto ulikuwa umeteguka, asubuhi mke wangu akanipa pole na kusema nilianguka wakati tukiingia sebuleni, nipo kwenye maumivu makali sana, jicho moja limevimba, sipo vizuri in short, nashindwa kuelewa kinaweza kuwa nini hiki?