eti hizi ndio loans walizopangiwa watu na heslb?

Perry

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2011
Posts
10,058
Reaction score
2,195
wakuu,kuna ubishi umetoke huku kitaa,kwa wale mliocheck selection za udsm,pale kwenye results za o-level ambapo grades zako ulizpopata kwenye masomo znapomalizika,kuna grade nyingine inakua imeandkwa,mfano watu wote wa science wameandikiwa grade A na B wakati watu wa aarts wameandikiwa grade A,B.C,D,E,F,H,K,M etc,sasa huku kitaa kuna ubishi kwamba wengne wanasema ndio grade yako ya mkopo na wengne wanasema itakua ina maana nyingne tu.ebu kwa anaejua hzo grade zna maana gani atujuze wakuu.
 
@kama ndo loan amount itakua hivi!!
A=100%
b=90%
c=80%
d=70%
e=60%
f=50%
g=40%
h=30%
i=20%
j=10%
k=0%
 
@kama ndo loan amount itakua hivi!!
A=100%
b=90%
c=80%
d=70%
e=60%
f=50%
g=40%
h=30%
i=20%
j=10%
k=0%

lakin mkuu,kinacho nitatza kuna wengne hawajawekewa hzo grades?
 
lakin mkuu,kinacho nitatza kuna wengne hawajawekewa hzo grades?

kama hawajawekewa then hiyo itakuwa inamaanisha NIL kwa maana ya kwamba hawajapata chochote hata iyo 0%
 
Duh!kama ndo ivo nina ka C kangu!
 
Jaman,hakuna mwingne mwenye info kuhusu hili suala?
 
Acha zako wewe mbona kuna gred w,m,r na hizo zi gred xaxa!mi nafikiri 2we serious na post 2nazozitoa,,ziwe truely za great thinkers!
 
Oya hakuna mwenye jibu sahih au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…