Eti huku JamiiForums mbona kila mtu ni mkuu! Mna maana gani?

Mkuunduguyangu kua mpole utaelewa tartiibu,ni muda tu utafanya wambele wainame wanyuma muone!
 
Nikwamba hata kama jambo hukubaliani nalo unaheshimu mawazo ya mwenzio na si kutoa lugha isiyo na staha.....Nadhani tuneelewana mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…