Eti huyu nae anataka malipo!

Huyu dada wa ajabu, usomeshwe na kazi utaftiwe bado hutaki kweli kusoma sio kuelimika. Huyu hata badae atakuwa mzigo sana kwako tena kwelikweli kazi unayo.

double k badae tena,kuna baadae na such kind of girl,i wish i wud hv nvr known her,bad enough nina mtoto nae.
 
Kazi ipo. Mpige mimba nyingine
 
Acha kujilisha upepo, kipele kisha pata mkunaji hicho
 
ndio ni mtoto wake ila unafikiri mtu huyu asiependa kazi na anaependa cheap money anaweza kumraise mtoto in good morals

Ndo hapo atakapomrudisha...yeye keshajua weakness yenu iko wapi
 
anataka malipo kwa kumuhudimia mtoto anasema sio kazi yake ni ya housegirl

Haya sasa makubwa mkuu kama huna mpango wa kumuoa mwambie basi aishi kama housegal.....hakuna usafiri wala favor zozote za kifamilia kama anazopata! Mwanamke anategea kumlea mtoto wake mwenyewe?

halafu anagalia, hiyo gari itakuwa 'imeshapata kazi' ana kidumu uyo kinamfundisha ujinga
 
sasa nchi nyingine ataendaje wakati job hataki fanya?...mwambieni aende tuu maan mie ninavyojua mtoto lazima atataka kumjua baba yake tuu
 
mi kila siku uwa nawaambia watu, umu duniani kuna watu punguani... sijaelewa kinachomfanya abaki kwenu, mtoto hataki kulea, anataka kulipwa, mshahara wa nini? anataka gari, ili? ingekuwa ni mshua wangu kajitahidi kumsomesha, na kujA kumiona mtoto. ila mengine eti ahamie kwetu nna hakika dingi angemng'oa maskio
 

ilibidi ahamie kwani kwao baba yake alimfukuza.
 
Kama anataka kulipwa kwa ajili ya kutunza mtoto, that is fine. Manake hapo yeye sio kama mwali wa nyumba hiyo. Mshahara wa maid bongo ni 40 to 50,000. Mlipeni. Hakuna privilege ya gari wala nini! Tena kila akipewa mshahara asainishwe!
Umetoa wapi mwanamke asiye na akili hivyo na wewe! Ungekuwa mdogo wangu ningekupiga teke hapo kati ili wakati ukiwa hutumii akili, naniliu yako iogope na isitoe ushirikiano!
 
Mme muendekeza wenyewe!
Nendeni mkampime akili!
 

Mkuu tafuta Mzungu huko huko hichi ni kimeo,tena uje uchukue na mtoto wako akapate elimu bora pande hizo.
 

there was a time she was elegant and with her academic background i thought atakuja kuwa a perfect mom kumbe elimu ya darasani haendani na common sense ,manake elimu yake haijamsaidia.
 
ama kweli ukistaajabu ya musa utaona ya...hyo hafai kuoa piga chini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…