Evelyn Salt
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 70,916
- 141,437
Yani mamy ndo mana Sitaki kuingia mana najijua...acha tu huu Umbea wa hapa jf na warumi wetu wanitosha...
Umeona eeh....kweli warumi ni insta ya jf ha ha ha yupo ful umbea
Niambie mbaba? Uko pouwa?
Niko poa kabisa mzima
kicheche wa kinondoni mkwajuni huyo hana jipya
Kama wanashoboka nikuwanyosha safii tu na endelee kuwapigaa tu
Yap iyo itukuwa akili yake kusuka au kunyowa the end of the day ata cry safeucjidanganye! utaona kama anawakomesha kwa kuwapiga papuchi zao, ila kwa upande mngine yeye ndo anapewa kichapo. re: mr nice
Naona umetilia mkazo...
ila halima ni noumer yaan watu huwa wanajitoa ufaham
Huo ni ulimbukeni kubadili madem kama nguo
diamond platinumz a.k.a dj matombo!
mkuu hilo eneo liko morogoro ujue! si mimi hata kidogo!Lug6a Yako Ya Leo Kali Sana!
Minya Kidogo!