:boxing::boxing::boxing:Ehh...sawa...
ishu ya ukali ukali?? samahani kama umekwazika!
Ehh...sawa...
ishu ya ukali ukali?? samahani kama umekwazika!
Mbona unajibu kwa ukali ukali isije ikawa mmmh:bowl:
iko biyeeeeeeeeee!Nyamayao umejibu kwa ufupi sana; as if hutaki kuulizwa ulizwa thats why wanasema umejibu kw aukali nway ladiiiiies tupeni majibu kuna uhusiano kweny hii mada hapo juu?
Salams wapwaza na mabinamz
:tape::shut-mouth::boxing::boxing::boxing:
ha ha ha!Ha ha haaaaaaaaaa! Jamaa yangu mmoja anadai ana tabia ka ile ya yule jamaa wa VUNJA UKIMYA. Akifika home tu mkali ka nini. Kihouse ni kwa manati kiaina. Mama akaanza kuhisi kuwa jamaa ana mahali anahemea. Bibiye jana kaamua kuvunja ukimya, jamaa anarudi tu anakutana na mwanamama anagugumia maumivu! Pembeni kuna vidonge tofauti tofauti ,,,,,,,,,,,,mama vipi? Kaamua kujimaliza maana kwao hakukosa kitanda wala chakula. Kafata shughuli ati! Jamaa kahamaki kanipigia simu,,,,eeh bana njoo huku shemejio kanywa sumu huku. Du anirusha handasi ka nini ndo kwanza nilikuwa naanza kachupa kangu ka pili ka valeur! Kufika tu tukaanza kusema unajua huyu tuite polisi waje wamhoji. Nikanyanyua simu, ile naanza kusearch number kakurupuka huko anasema jamani acheni sijanywa sumu nilikuwa namtishia jamaa maana kazidi kuninyima nanihiiiii. Alafu sasa anasema kwa sauti kuuubwa, wacha watu wacheke, mama kawa mkali "nyie mnafikiri mazuri hayo kwetu sikosa chaku wala nini mi nimefata hiyo hiyo alafu ananinyima tu mpa siku nyingi nalazimisha ndo napewa mie nimechoka anambie kama anaye na mimi nitafute pa kupozea", ilibidi tupooze kiaina wakaishia kulala. Sijui ka jamaa katoa haki za mtu ama vipi.
Nyamayao umejibu kwa ufupi sana; as if hutaki kuulizwa ulizwa thats why wanasema umejibu kw aukali nway ladiiiiies tupeni majibu kuna uhusiano kweny hii mada hapo juu?
Salams wapwaza na mabinamz
:fencing::fencing::fencing::tape::shut-mouth:
Duh! Mshikaji wako hatoi mpaka mgomo ufanyike? Mwambie whuni wakishtukia wataanza kumsaidia kazi. Nina uhakika jana atakuwa alimpa bakora za kiukweli shemeji yetu!:tape::shut-mouth:
ha ha ha!
mwanamke akifika hii stage anakuwa AMEVUMILIA SANA!.....
kitaalamu hii tunaita POINT OF NO RETURN!Na AMEKUHESHIMU SANA............!:smile:
kitaalamu hii tunaita POINT OF NO RETURN!
mwanamke akianza kutoka nje ndo basi tena!...atawapa mahawara hadi TIGO!
ni kwa mwanamke tu? mie nadhani mke/mume akinza kutoka nje nddio bac tena.
wanaume kutoka nje NI PART OF OUR DAILY ROUTINE!nachelea kusema ni sehemu ya maisha yetu!tunatoka nje na tunaziheshimu na kuzijali ndoa....ni kwa mwanamke tu? mie nadhani mke/mume akinza kutoka nje nddio bac tena.