Hehehe nimekusoma komredi ngoja nisepe! Hujanionea Smiles leo?
Sasa CPU vipi na wewe???.....mwenye sredi hayupo...
ewaa, nataka nkuPM kisirisiri manake umenijaaaz...
ewaa, nataka nkuPM kisirisiri manake umenijaaaz...
Anataka kutuharibia huyu
Umemuona CPU?Homeboy
Umeona eee Dena...utafikiri kiranja mkuu!!!..LOL
Nitasema nimesikia
Mkuu Posted via Mobile haileti majumuisho ya signecha chini yake, bado naendelea KUVUMILIAKaka mbona umetoa ile
Miss U
AD
Umechoka baada ya kuona haji au?
Homeboy CPU matata sana, yuko vere vereUmemuona CPU?
Ahaaa Dena...yamekuwa hayo tena??!!! au wewe kiranja mkuu msaidizi wa CPU??!!!..🙂
Anayeandika wachelewaji
Ha ha ha ha acha kusoma katikati ya misitari bana sisemi ushanikamata kabla sijatekeleza
hapo safiii...kamata hii kwanza.... lakini sio rushwa hii!
The Following User Says Thank You to Dena Amsi For This Useful Post:
Keren_Happuch (Today)
Sio rushwa bana hata mie najua hilo
Sasa CPU vipi na wewe???.....mwenye sredi hayupo...
Hatujamalizana ujue? Au CPU kabana?Sio rushwa bana hata mie najua hilo
Acha unoko wewe bana mambo gani tena ya kushitakiana
Hehehe nimekusoma komredi ngoja nisepe! Hujanionea Smiles leo?
Hatujamalizana ujue? Au CPU kabana?