Eti ipo STYLE ya Kupata....!

Eti ipo STYLE ya Kupata....!

Mwiba

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2007
Posts
7,607
Reaction score
1,750
Eti nauliza ipo style ya kupata watoto pacha au wakiume au wakike ? Unapohitaji kupata aina hio ya watoto ?
 
Hakuna style mungu pekee ndio anapanga, zile zote zinazosemwa ni nadharia
 
hiyo staili naona bado haijatufikia mkuu,..
 
Nishawahi sikia kwa watu ninaowaamini (na wenye taaluma yao) kuwa ipo ya kuchagua mtoto awe ke au me, lkn pacha hutokea kwa bahati mbaya tu. Lkn pia pacha huweza kuwa ni kitu cha kurithishana kiukoo, na waliozaliwa mapacha huwa na uwezekano mkubwa wa wao kutoa pacha!

Jinsi ya kuchagua mtoto awe ke au me sikuzingatia sana lkn points zao kama zinaendana na ukweli!
 
ipo mkuu
"ombeni lolote nanyi mtapewa" asema BWANA WA MAJESHI
 
Kusema ipo tu hakutoshi ,ipo ,kuna watu wanafikisha watoto sita bila ya kupata mtoto wa kike au wakiume anapata wa aina moja tu ,na yote ni kutafuta mtoto wa aina nyingine.

Inawezekana mtu anatumia style moja tu ya kifo cha mende ,au huwaga anasahau ni style ipi ilimpatia mtoto wa aina fulani.
 
Hiyo ya mapacha ndio tamu kwani ndani ya miaka kadhaa habari ya kutafuta mtoto unaweka kando ila shule ndio kimbembe kingine
 
Kuna uwezekano mkubwa sana wa kupanga kupata mtoto wa kiume au wa kike ila hautegemei style badala yake ni kuhesabu siku toka mama alipo ona siku zake , kuna tarehe zenye nafasi kubwa ya kupata baby gal na zipo zenye nafasi kubwa za kupata baby boy MCHEZO NI FREE STYLE ali mradi tu baba awe ana chromosomes zenye both sex detaminants yaani x and y
 
kuhusu pacha, yupo dr mmoja ambae nahudhuria klinic yake, anavyodai yy zipo dawa kutoka nje ambazo anazo zinazobadilisha mfumo wa utoaji mayai kww mwanamke.

alivyonielekeza mm ni kua mwanamke ana mayai 300, na kila mwezi anatoa moja, na hakuna mwanamke ambae anaweza kuzaa watoto mpk ayamalize mayai yake yote.

sasa anachofanya yy hubadilisha mfumo wa utoaji mayai badala ya kutoa moja mwanamke anaweza kutoa mayai hata 5, au 4 au 3 au 2, then ukikutana na mwanaume katika kipindi cha ovulation uwezekano mkubwa wa kuzaa twins unakuwepo.

ukihudhuria clinic yake utagundua ni dr mzuri maana utakuta wanawake tumejipanga, tunatafuta watoto. Mungu aingilie kati kwa kweli..
 
Huyo doctor anapatikana wapi(Hospitali gani?)

Mambo mengine tumwachie Mungu,ndiye anayepanga
 
Eti nauliza ipo style ya kupata watoto pacha au wakiume au wakike ? Unapohitaji kupata aina hio ya watoto ?
Mtoto wa kidato cha tatu mwenye miaka 16 anaweza kukujibu kwa ufafanuzi,mkuu shule ni muhimu sana
 
Back
Top Bottom