kuhusu pacha, yupo dr mmoja ambae nahudhuria klinic yake, anavyodai yy zipo dawa kutoka nje ambazo anazo zinazobadilisha mfumo wa utoaji mayai kww mwanamke.
alivyonielekeza mm ni kua mwanamke ana mayai 300, na kila mwezi anatoa moja, na hakuna mwanamke ambae anaweza kuzaa watoto mpk ayamalize mayai yake yote.
sasa anachofanya yy hubadilisha mfumo wa utoaji mayai badala ya kutoa moja mwanamke anaweza kutoa mayai hata 5, au 4 au 3 au 2, then ukikutana na mwanaume katika kipindi cha ovulation uwezekano mkubwa wa kuzaa twins unakuwepo.
ukihudhuria clinic yake utagundua ni dr mzuri maana utakuta wanawake tumejipanga, tunatafuta watoto. Mungu aingilie kati kwa kweli..