hapo kwenye kuwa makini ndio balaa, nyie wenzetu wa jinsia nyingine mnatuchanganya sana..sometimes unaweza ukahisi umefanya good choice kumbe ndo umeuvaaaKama alivyosema Maria Roza inawezekana au isiwezekane cha msingi ni kuwa makini tu.
.....tupe uzoefu.Naogopa kutoa comment yangu!!
Just i am ni kweli zaidi ni kumuomba Mungu akusaidiehapo kwenye kuwa makini ndio balaa, nyie wenzetu wa jinsia nyingine mnatuchanganya sana..sometimes unaweza ukahisi umefanya good choice kumbe ndo umeuvaaa
Ni rahisi kupata bussness patnas,associates kwenye net ila ile mnatokeana directly I LV U, I LUV U mara wachumba hapo siwaelewi kabisa.mhh!! Marytina usiseme hivyo ww!!
Tupo wengi mbona!ntajitahidi kuomba nimpate aliye mwema mana mmekuwa wachache sana sikuhizi
Tupo wengi mbona!
Yes it happens na kama wote wawili mna malengo ya kweli na sio kumpotezea muda mwenzako inakuwa ni kitu kizuri sana ila cha msingi wote wawili ni kumtanguliza Mungu mbele ili aweze kuwaepusha na vishawishi na tamaa zilizopo mbele maana wanadamu siku hizi wamekuwa tofauti but all in all believe in yourself.yap its true nikumuomba mungu..kuna couple moja naifahamu kwa ukaribu sana... toka enzi za rafiki wa kalamu msichana alikwa weruweru jamaa alikuwa mzumbe later on mdada akafaulu kila kala jamaa akawa yupo dar..waliishi kama freinds for three years wakaja kuonana u cant believe finest sasa hivi ni yf and hasband with one kid...all we can say they are lucky