Eti jamani, wanakwaya hawa wamekufa?

 
RIP marehemu wote, nilisikia hii ajali wakati ipo india na warwandiz, nikawapassha hii sadest story, still in my memory zu
 
Yaani ndio naitazama cd yao walioitoa baada ya ajali na nakutana na thread hii, mmh kweli Mungu ni mkuu. Wapendwa hawa wanatia moyo, yaani jinsi wanavyozidi kumtukuza Mungu utashangaa. Mungu na azidi kuwabariki pamoja na huduma yao.
 
mbona mnatuchanganya wapendwa kuhusu nani waliokufa hasa,je aliyeimba kama solo kwenye wimbo wa amani amekufa!? maana wengine wanasema huyu wengine yule,natanguliza shukrani,RIP our brothers in Jesus,AMEN
 
Je ni kweli mmoja alikuwa mtoto wa kagame ndio maana alitoa helicopter ya jeshi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…