Hii inakufaeni kule kwenye jukwaa lenu na maswahiba zako WHISPER, Kimbweka.comna kweli ni majirani, kitu kizuri share na nduguyo..
Ngoja niangalie chelsea na barca kwanza!
Hii inakufaeni kule kwenye jukwaa lenu na maswahiba zako WHISPER, Kimbweka.com
Wanabodi ngoja niwapatie mchapo wa mapenzi uliomtokea swaiba wangu wa karibu. Jamaa aliopoa jimama na wakadumu katika uhusiano takribani miezi miwili(2). Cha ajabu kila wakati wakidu lile jambo jimama linataka mkao fulani tu ila swaiba haelewi. Baada ya kuona jamaa haelewi kabisa siku moja wakati wa ku-do akamwambia, "JIRANI NAYE ATAKA"!! Toka hapo swaiba kaenda kumjengea bifu jirani yake lakini cha ajabu siku nyingine wakati wa ku-do akamwambia tena! Swaiba ndo akauliza nini maana yake? Ndo jipu likapasuliwa pwaa! kuwa na nyuma pia hamu........ Swaiba kadata amekolea! Tabia hiyo imemuudhi ila anashindwa kumtosa amekolea.
Inawezekana ni watu wachache tu wameamua kuya-promote humu. Hivi unadhani ni asilimia ngapi ya watanzania wana-access na wavuti?dah , stori za ushoga, na kulana tigo humu ndani zimekuwa nyingi mno, hii inaonyesha haya matendo yameshika kasi sana hapa BONGOLAND,
MUNGU ATUEPUSHE MAANA TUMESHINDWA KUJIEPUSHA WENYEWE ..
UKIMWI utatumaliza kwa tabia hizi za kulana tigo