Habari za wakati huu wakuu!!kuna msichana mmoja nimekuwa nikichat nae facebook kwa muda mrefu sasa,imetokea hvi karibuni tumepeana namba za simu,katika kuongea kwenye simu,binti anadai amevutiwa sana na saut yangu na anahitaji tuwe wapenzi.sasa wakubwa,kweli mtu anaweza tu kudata na saut na akafall in love deeply like this au ananitega tu huyu binti?
hahahahaha!!! Dah! Umenikumbusha mbali mkuu....lol... Ofcourse sauti zadatisha... kama vile waweza vutiwa na mtangazaji redioni but humfahamu... to the extent ukimuona unasema Khaa! Gavanar mwenyewe ndo huyu??? Unakua dissapointed mpaka watamani kulia.....lol
Na wewe vipi sauti yake imekudatisha?sasa,mbaya zaidi,binti anataka kufunga safari toka mwanza aje dar kunifuata!
sasa,mbaya zaidi,binti anataka kufunga safari toka mwanza aje dar kunifuata!
Unaweza ukajaribu ku manage expectations kwa kumshawishi mtumiane angalau picha (kama bado hamjafanya hivyo). Ni mara chache sana binaadamu tunajaaliwa 'vitu vyote'.....unaweza ukapewa sauti 'nzuri' lakini ukanyimwa umbo, sura nk. So kama mtu amekusikia tu lakini hajawahi kukuona anaweza kuwa disappointed akikuona.....hasa kama 'amefunga safari' (amepania) kwa ajili ya kukuona.me naiona ya kawaida 2 kama ya wadada wengine.
Habari za wakati huu wakuu!!kuna msichana mmoja nimekuwa nikichat nae facebook kwa muda mrefu sasa,imetokea hvi karibuni tumepeana namba za simu,katika kuongea kwenye simu,binti anadai amevutiwa sana na saut yangu na anahitaji tuwe wapenzi.sasa wakubwa,kweli mtu anaweza tu kudata na saut na akafall in love deeply like this au ananitega tu huyu binti?
Unaweza ukajaribu ku manage expectations kwa kumshawishi mtumiane angalau picha (kama bado hamjafanya hivyo). Ni mara chache sana binaadamu tunajaaliwa 'vitu vyote'.....unaweza ukapewa sauti 'nzuri' lakini ukanyimwa umbo, sura nk. So kama mtu amekusikia tu lakini hajawahi kukuona anaweza kuwa disappointed akikuona.....hasa kama 'amefunga safari' (amepania) kwa ajili ya kukuona.
jiulize wewe amekudatisha nini?? Ikiwa yeye kwako nisauti.usiwe kama zuzu kuambiwa hivyo basi nawe unakuba.takwimu inaonesha wanaume wengi waliotongozwa na wanawake walikubali pasipo hiari yao.mwisho utampata ambaye mnapendana na ndio mwisho wa urafiki wenu.
sa unafikir ntafanyaje na mtu nilyekutana nae fb tu,na je kama ni mgonjwa?