Eti kadata na sauti yangu tu

kuhusu swala la picha,tumeishatumiana na yeye,kikwel ni mdada mzuri tu kama walvo wadada wengne hasa hawa wa mjini.
Then you are sorted....huna cha kuhofia! Hawezi 'kukubaka' mkuu.....make sure you are in control.
 
Then you are sorted....huna cha kuhofia! Hawezi 'kukubaka' mkuu.....make sure you are in control.

kinachonifanya niwe wa wasiwasi,anasisitza sana bout sex,yani anasema lazima tufanye!!
 
kinachonifanya niwe wa wasiwasi,anasisitza sana bout sex,yani anasema lazima tufanye!!

Govanor bana!! Unaogopa binti! Wewe kuwa mwanaume kuwa in control. Kama hutaki kusexnaye weka wazi! Pengine naye anakutega au anahic ni wale wanaume wanaohusudu sex au yeye ni wale wanaochukulia sex kama ishara ya kupenda. Yaani amekupenda na anahisi akikupa utaamini anakupenda.
 

...dahhhh, you missed the truth and nothing but the whole truth hapa kaka.,..
umesema mmekuwa mna chat ;

1. muda mrefu (hapa na assume una maana siku nyingi)
2. kwenye facebook (ina maana mnajuana hata kwa picha zenu)

...iweje leo hii umshutumu ati yeye amekupendea sauti tu, zile picha na mazungumzo yenu ya muda mrefu?
acha hizo bana...sauti ni 'bonus' tu....!
 

nimejikoroga tu,but ni kwamba baada ya kuckia saut yangu ndo ameshawishka zaidi kunihitaji.
 
Reactions: Mbu
nimejikoroga tu,but ni kwamba baada ya kuckia saut yangu ndo ameshawishka zaidi kunihitaji.

...lol,...usijali.

sasa nawe unatumia jitihada gani kumuonyesha humuhitaji maishani mwako?
 
dah!!me niko kimya 2.
Upo 'available'? Maana kama tayari upo commited kwa mtu mwingine huu uhusiano mpya unaweza kukuletea songombingo ukaishia kuwakosa wote wawili.
 
Reactions: Mbu
Tupe namba yake kama unamuogopa wengine sie ni madaktari tutakupimia kama ni mgonjwa au lah uoga ukuishe
 
Tatizo lenu Vijana wa Siku hizi mkiongea na Mabinti mnabadilisha sauti (Kisharobaro), wenyewe mnaongea kama Wamarekani weusi (Slang), halafu mnaweka, ''you know'' nyiiiingi, mara, ooooh baby missed u, Mara, baby jana sijalala nimekuota wewe, .....sasa bila kulala Utaotaje?
 
Mambo mengine tena,rahisi,fanya hivi heshimu hisia za mwenzako,UZINZI NI HATARI KWA MAISHA YAKO.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…