GodfreyTajiri
JF-Expert Member
- Sep 26, 2010
- 1,001
- 704
ni kwamba baada ya kuckia saut yangu ndo ameshawishka zaidi kunihitaji.
sasa,mbaya zaidi,binti anataka kufunga safari toka mwanza aje dar kunifuata!
hahaaaaaaaaaaaaaaaaaa u made ma day mpzhahahahaha!!! Dah! Umenikumbusha mbali mkuu....lol... Ofcourse sauti zadatisha... kama vile waweza vutiwa na mtangazaji redioni but humfahamu... to the extent ukimuona unasema Khaa! Gavanar mwenyewe ndo huyu??? Unakua dissapointed mpaka watamani kulia.....lol
Unaweza ukajaribu ku manage expectations kwa kumshawishi mtumiane angalau picha (kama bado hamjafanya hivyo). Ni mara chache sana binaadamu tunajaaliwa 'vitu vyote'.....unaweza ukapewa sauti 'nzuri' lakini ukanyimwa umbo, sura nk. So kama mtu amekusikia tu lakini hajawahi kukuona anaweza kuwa disappointed akikuona.....hasa kama 'amefunga safari' (amepania) kwa ajili ya kukuona.
kinachonifanya niwe wa wasiwasi,anasisitza sana bout sex,yani anasema lazima tufanye!!
yeah!nimemuona kwenye picha,yuko fresh tu.
...lol,...usijali.
sasa nawe unatumia jitihada gani kumuonyesha humuhitaji maishani mwako?
dah!!me niko kimya 2.