Eti Kakobe sio mpinzani!

Eti Kakobe sio mpinzani!

Ralphryder

JF-Expert Member
Joined
Nov 16, 2011
Posts
5,168
Reaction score
1,549
Ameongea ktk mkutano wa jangwani na kujifanya kumfagilia mhe Rais kikwete! Na eti anamwomba asisaini mswada wa katiba mpya! He kanisa limemshinda anajaribu kete ya siasa baada ya kushtukiwa na waumini wake!
 
Hajamuomba nyie mnasikilizia wapi??? CCM bwana kwanza nenda kwenye jangwani updates usilete miuzi isiyo na tija. Amesema kama alikuwa na nia ya kutengeneza katiba kwa dhamira nzuri basi anaowatengenezea hawataki baadhi ya mambo yaliyomo akisaini anamtengenezea nani na dhamira yake haikuwa sahihi basi
 
Kumbe we unasikiliza!mimi nipo hapa hapa jangwani, acha kuwa msukule wa kudumu wewe!
 
ameongea ktk mkutano wa jangwani na kujifanya kumfagilia mhe rais kikwete! Na eti anamwomba asisaini mswada wa katiba mpya! He kanisa limemshinda anajaribu kete ya siasa baada ya kushtukiwa na waumini wake!

acha ujinga ww! Kakobe ni mtanzania kama wengine na ishu ya katiba inahusu watu wote. Sasa kanisa linahusika nn hapo? Na aliyekuambia kanisa limemshinda ni nani? Mwenzako ana bonge la kanisa marekani yaani yuko ki-international zaidi tz bakini na dharau zenu
 
ccm huwa hamkosi cha kupost hata kama kwa kupindisha ukweli
 
Askofu Kakobe anakubariki kwa Jina la YEsu maana imeagizwa kuwa wabarikini wanaowahudhi naye amekubariki.
 
Back
Top Bottom