Ralphryder
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 5,168
- 1,549
Hajamuomba nyie mnasikilizia wapi??? CCM bwana kwanza nenda kwenye jangwani updates usilete miuzi isiyo na tija. Amesema kama alikuwa na nia ya kutengeneza katiba kwa dhamira nzuri basi anaowatengenezea hawataki baadhi ya mambo yaliyomo akisaini anamtengenezea nani na dhamira yake haikuwa sahihi basi
ameongea ktk mkutano wa jangwani na kujifanya kumfagilia mhe rais kikwete! Na eti anamwomba asisaini mswada wa katiba mpya! He kanisa limemshinda anajaribu kete ya siasa baada ya kushtukiwa na waumini wake!