Eti kama haukuwa kati ya shule hizi, we ni kilaza ?

Duh! Kumbe mi Noma nimepga ya 1 na 4 Lkn bado life iko ngumu, sasa nasaka elimu ya kitaa, naamin huko nitapasua tu!
 
Hizo school bila kupata Male 140/150 ----
Female 135/150 ulikua hutoboi babake.
Dah,tulikua tunapiga msuli jamani acheni kha!!!
 
Jesca Binti John wa St mathew na Udom na hostel yake ni ikulu ndogo ya Chamwino
we kama yako haipo pita kule usituharibie mada yetu ni part ya mets kutaftana .unakomaa na jesca si umfuate huko kilaza wewe
 
ilboru members of 2003 na minaki members of 2006 kama mpo men am here yo boy maya
 

Zilipendwa, ST ndio habari ya mjini.
 
baba na mama yako wamo? Kwa hiyo nao ni vilaza?
 
Naunga mkono hoja ,akiba na uchaguzi wa maneno ni muhimu mno,maana ukisema wanawake hawana akili,ukumbuke mama yako pia ni mwanamke
Ni vema kuchagua maneno. Hajui kuwa anamtukana hata baba na mama yake. Naona hakunijibu katu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…