Eti kama haukuwa kati ya shule hizi, we ni kilaza ?

Wewe mwenyewe ni kilaza utaachaje Njombe sec wewe aka NJOSS
 
SHule hizO zote za serikali je si tuliojitafutia elimu bora na sio bora elimu nje ya govm schol,,,,,, zitajen.
 
Niesoma Usagara A level 1987 to 1989 naomba namba ya group ya mmojawapo
nakumbuka Galax, Bibi, Mzee Juma Masamkara ,Moringe , headmaster wa wiki Mr saliboko
Mr Keto
 
Mkimaliza mseme na kiasi kilichoko Bank
 
Milambo yangu imo japo mim technically simo (financially)
 

kwirooooooooooooooooooooo, enzi za ndololo balaaaaaa
 

kuna kashule kamoja wanakaita ifakara girls kipindi kile inaitwa IFOZA, MACHIPI, mademu wa jamaa wa kwiro mahenge wazee wa rubi na green tomarin, vijambazi vya kwiro vilikuwa vinakula kwa picha tu watu mzuka kishenzi kama majambazi ya kihindi,
 
Mkuu unakosea Sana'a,,,, hufai hata balozi kam unajivunia xul adi Leo,,,, wangap wametoka huko na hawana direction za maisha,,,, wako tuliokuwa nao shule zetu za Kata,,, na Leo wako wanakula gud Tyme,, take care my friend
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…