Inategemea na shule na uwezo wako wa kujichanganya na watu.Nimeenda Tabora Boys sijasoma chochote kwenye physics lakini believe me nilicover topics zote shuleni na nimetoka fresh necta
Ofcoz ushafnya kosa kubwa kuend gvment af ujapga pndi...bt stil u can do best kama ukzngatia hay....jenga urafk na wenzko...pga misul ya kutosh...watkuj walmu wa 2shen jarb kuhudhria
Kama o-level physics ulikuwa shallow utapata tabu sana. Bado una muda ila inabidi utumike effectively. Make sure unacooperate na wenzako, topic kama mechanics wanakukatia. Maana physics kuna kulishwa concept, kwenda kucover na kusolve problems. Inabidi ucheze na muda sana.