Eti "Kaserengeti boy kangu"

Eti "Kaserengeti boy kangu"

kibaravumba

JF-Expert Member
Joined
Dec 21, 2012
Posts
6,634
Reaction score
7,015
Hii misemo nimezoea kuisikia ikisemwa na mijimama ikiwa ni lugha ya kumtambulisha mpenzi mvulana ambaye kiumri ni mdogo.
Hii inanifanya nifikiri huenda hata hii timu inayoitwa Serengeti wameshafanywa mahodari wa ngono na kusahau jukumu lao la msingi katika timu ya taifa.
Sipendi hii tabia ya kuhusianisha kila shughuli yenye umahiri wa nguvu na akili na vitendo vya ngono.Huenda ndiyo maana,hatufanyi vizuri kabisa kwenye michezo.Maana nguvu nyingi tunaziweka kwenye mambo ya ngono ambayo hata yakiletwa mashindano hatuwezi kufanya vizuri.
Kweli watanzania!
 
Amna hapo ni kiwango cha wachezaji na mbinu za mwalimu ndio mchawi wa mafanikio yao
 
Siasa siasa wacheza singleli mmewapa pesa kushangilia sisi tunaocheza uwanjani tunapewa ahadiiii pumbavu kabisaa
 
Back
Top Bottom