Eti kazi tahisi kufanya ni hii?

Eti kazi tahisi kufanya ni hii?

raffiki

Senior Member
Joined
Jun 4, 2011
Posts
160
Reaction score
44
Waungwana nimesikia BBC jamaa mmoja anahojiwa kanasema eti kama mwanaume ameangaika bila mafanikio na anataka kutafuta kipato basi kazi rahisi kabisa kufanywa kwa mwanaume ni uandishi wa habari je ni kweli?
 
Nikweli mkuu.we umepiga 3 yrs kwa digrii upo mtaani toka mwaka 47.Mwenzio kilaza tu wa std 7 kamaliza 2010unamuona ktk screen akisoma habari.
 
Sa kazi ya kusoma taarifa ya habari hata mtoto wa darasa la kwanza kwenye vipindi vya watoto tunawaona wakisoma na wakiwahoji wenzao.

We unafikiri watangazaji wa clouds wana-toil nini?

Nyingine ni ya kufanya matusi.
 
Kwa hyo mnamshauri nin kibonde wa clouds?
 
Back
Top Bottom