Doto12
JF-Expert Member
- Nov 2, 2023
- 640
- 1,141
Milevi bana..
Inaanza kuona shule za kulipia ni overrated.
www.jamiiforums.com
www.jamiiforums.com
Inaanza kuona shule za kulipia ni overrated.
DOKEZO - Haki itendeke kesi ya Mwalimu wa Shule ya Kingdom Heritage (Banana – Dar) kutuhumiwa kumbaka Mwanafunzi wa Darasa la Saba
Kuna jambo ambalo naomba nifikishe hapa ujumbe ili ujumbe huu ufike kwenye Mamlaka za juu, nimeamua kufanya hivi baada ya kuona kile ambacho kimeripotiwa na yule Mwanachama mwingine wa JF kuhusu Shule ya Msingi ya Green Acres ambapo Mwalimu Mkuu anadaiwa kumlawiti Mwanafunzi mwenye umri wa miaka...
English Medium ziko Ovarated sana,hakuna elimu pale zaidi ya utapeli.Shida ni tumekuwa Brainwashed sana.
Wazazi, mnashirikiana na shule kuwatesa watoto. Vitoto vyenyewe bado vidogo, miaka 11-13, vinaamshwa saa 10 au 11 alfajiri kuwahi shule. Wanawahi nini exactly? Na bado watakaa shule mpaka saa 12 kisa remedials, kurudi nyumbani saa 1 jioni.. mtoto anafika hoi, hajiwezi, hajacheza, hajafanya...