Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future

Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future

EllySkyWilly

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2020
Posts
2,204
Reaction score
2,085
Wakuu hivi hawa dada zetu ninyi mnawaelewa kweli.
Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future.
Wakati kila siku ananiambia beibe nakupenda na kunipiga mabusu motomoto.

Wakuu ninyi mnaelewaje hizi ishara.
 
kashapewa lift huo kawashiwa ice mziki wa celinedion jamaa
 
Wakuu hivi hawa dada zetu ninyi mnawaelewa kweli.
Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future.
Wakati kila siku ananiambia beibe nakupenda na kunipiga mabusu motomoto.

Wakuu ninyi mnaelewaje hizi ishara.
Kuna jamaa mmoja hapa ninapenda koment yake, atakuja kukuuliza ni chama gani tumpigie kura[emoji16][emoji23]
 
Sasa..SI ndo hauna future.. Future KWAKE yeye ni kumuoa.. Ila Wewe unaleta Story.

HUNA future .
 
Usijali,endelea kugenga na kuplan majengo. Mwsho uwe na hela zaid ya hapo...wakikuona unahela wanavumilia zaid ya LULU kwa majizo....
 
Unataka kumpotezea muda bint wa watu. Ashaona dalili za awali huna mpango nae.

Wewe kaoe tu mbinguni wenda duniani wako hayupo ndo maana unazingua
 
Wakuu hivi hawa dada zetu ninyi mnawaelewa kweli.
Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future.
Wakati kila siku ananiambia beibe nakupenda na kunipiga mabusu motomoto.

Wakuu ninyi mnaelewaje hizi ishara.
Huyo anataka muhamie cabo delgado
 
Back
Top Bottom