EllySkyWilly
JF-Expert Member
- Aug 28, 2020
- 2,204
- 2,085
Kuna jamaa mmoja hapa ninapenda koment yake, atakuja kukuuliza ni chama gani tumpigie kura[emoji16][emoji23]Wakuu hivi hawa dada zetu ninyi mnawaelewa kweli.
Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future.
Wakati kila siku ananiambia beibe nakupenda na kunipiga mabusu motomoto.
Wakuu ninyi mnaelewaje hizi ishara.
kiukwel hawa wenye magir mazur wanatutesa mkeo akipewa lift tu kwishaππππhawa dada zetu bhana wana shida sana.
Role model nawe unakoment sehem nyingi..safiSasa..SI ndo hauna future.. Future KWAKE yeye ni kumuoa.. Ila Wewe unaleta Story.
HUNA future .
Sister anatoa madini tu,hakika ni graduate mzuri wa udsm.huyu sister ameniambia nipunguze story za I love beibe nkilala nakuota. Wao wanataka ndoa tu ili tuwahudumie
ππ Kula ujana mkuutatizo naogopa kubanwa chief, mtoto nilisha msoma plan yake, lengo lake anibane tu huku mimi nataka nile ujana kwanza
Huyo anataka muhamie cabo delgadoWakuu hivi hawa dada zetu ninyi mnawaelewa kweli.
Eti kisa nazingua kumwoa ameniambia sina future.
Wakati kila siku ananiambia beibe nakupenda na kunipiga mabusu motomoto.
Wakuu ninyi mnaelewaje hizi ishara.