Eti kisa nina maumbile madogo! Nifanye nini mie?

Mwehhhh
Naona unataka kusema
Punda wote wana mistari meusi na meupe..
Itabidi nikupeleke chumbani .. nadhani
Wajua chumba ni wapi..

najua hiyo sweet hapo ndio imekuzingua.....ha ha ha....dah....hata mimi imenishake kidogo.......kwa nini akachagua ID ya sweet lakini....?

Du! mwanaume anajiita sweet!!

Inawezekana huyu kuna jingine hajatueleza? Ambalo labda mke analijua ndio maana anamdharau

hayo ni maneno tu ya mkosaji siku zote hizo hakuona kuwa ni ndogo mpaka aje akwambie leo,,
mwambie aende akatafute kubwa inayomtosha na wewe utatafuta ndogo inayokutosha

Mwehhhh
Naona unataka kusema
Punda wote wana mistari meusi na meupe..
Itabidi nikupeleke chumbani .. nadhani
Wajua chumba ni wapi..

Karibu mwaya nakusubiri.

Hiyo siyo sababu... ni kigezo cha kukuchafua tu baada ya wewe kukataa asirudi nyumbani na kukufanya ukose kujiamini kama mwanaume. But naona kuna shida ktk mawasiliano yenu ninyi kama mke na mume... kama magomvi ni ya mara kwa mara na ya muda mrefu mnahitaji kukaa pamoja na kujua chanzo chake hasa ni nini. Kutatua tatizo pasipo kujua mzizi wake ni nini ina athari kubwa. Sikushauri utafute mke mwingine, ndoa ni kuvumiliana bado mna uwezo wa kukaa pamoja na kuyaweka mambo yenu sawa.. . ukimkimbia huyu utakutana na mwingine mwenye matatizo ya aina nyingine. Mpe muda aendelee kukaa kwa wazazi - huku ukifikiria ni namna gani unaweza kumrudisha na kutatua tatizo lenu kwa pamoja na kusahau yaliyopita. Maumbile madogo sio ishu hata kdogo kwani kumridhisha mke haisababishwi na ukubwa au udogo wa maumbile.. ingawa watu wengi hufikiri maumbile makubwa ndio kigezo.

Ukiona mwanamke anamwambie mumewe ana maumbile madogo kinyume chake ni kuwa yake ni makubwa na kinyume chake

duh! pole sana brother! lakini kwangu mimi nadhani ni maoni tofauti. wakati wowote gari linapopata ajali dereva ndio hulaumiwa na sio konda. hii inamaanisha kuwa kuhakikisha usalama wa abiria ni majukumu ya dereva katika hali yoyote ile. sasa basi kama dereva wa nyumba yako unastahili kuchunguza tatizo la mkeo na hasa ni nini kinachomfanya kugombana kila wakati. hii itasaidia sana kuziba mapengo yote ya uhasama kati yenu. sidhani tatizo ni mkeo bali wewe mwenyewe kwa kukosa kuwajibika mapema kutatua matatizo. baada ya wiki 3 tu ngoma ikaanza mpaka mmezaa watoto 2 na wewe bado kimya! krrrrrr! tena una miaka 34, mtu mzima wewe, unastahili kufanya maamuzi ya kiume kuikabili familia. muhusishe mkeo katika maamuzi yako, hii itamfanya kuona unamdhamini na kuongeza upendo kati yenu. haya umejifanya kijogoo cheki mziki ulivyomtamu. japo mkeo anadai ni maumbile yako madogo, hicho ni kigezo tu, kuna mengi ameficha. mapenzi sio kuingiza na kuchomoa beste, kuna taratibu nyingine zitakazo mfanya mkeo aridhike. Badilika na mrudie mkeo haraka.

Haya wenye ndoa,si mnasema ndoa tamu!

Ndoa ni tamu daima, ingawa misukosuko haikosekani, haya yanaweza kukukuta hata nje ya ndoa, kwa kimada, hawara au hata g/f. Cha msingi huyu bwana namshauri aachane na huyu mwanamke kwani hana adabu na kuna kila dalili kuwa wajinga walikuwa wanamla kipochi manyoya nje ya ndoa. achana nae

Mwambie hata wewe umekuwa ukimvumilia sana na lipochi manyoya lake ni kubwa lakini ameona haufahi.

kaka sidhani kama utapata muda wa kusoma reply yangu lakini sasa mi nikuombe wewe na huyo mkeo msiachane kwa hilo. Ni vizuri kupata ushauri sahihi inawezekana kweli humridhishi kwa mapenzi lakini kama yeye ni mwanamke kweli hakuna kinachoshindikana na mwanaume ni mwanaume tu maumbile si uanaume. Swala ni jinsi ya kutumia hicho kidogo ulichonacho kwa njia sahihi ili na yeye aridhike nakuambia ukweli ukifanya hivyo wala hatoondoka na atakuwa anakuomba kila siku.

najua hiyo sweet hapo ndio imekuzingua.....ha ha ha....dah....hata mimi imenishake kidogo.......kwa nini akachagua ID ya sweet lakini....?
Hahaha! Na imenizingua kweli kweli. Siku zote akiletaga sred nkichangia najua ni she.. Atanisamehe bure..

najua hiyo sweet hapo ndio imekuzingua.....ha ha ha....dah....hata mimi imenishake kidogo.......kwa nini akachagua ID ya sweet lakini....?

Kuna namna alitaka aitumie hiyo aidii...sasa leo kajisahau kaitumia kisengerenyuma. aidii hizi bwana.... Nimesha-relax, sasa wacha nirudi kule kwenye mjadala wa mafuta.

Ingekuwa tatizo ni hilo kwanini alikubali ndoa.!! Atakuwa na sababu zake ila ametaka kukuharibu kisaikolojia.
Endelea na mambo yako siku akitaka kujirudisha mwambie asubiri hadi maumbile yako yakue au yake yawe madogo.

Hiyo nyekundu:
Asingeweza kujua kwani maumbile mnakuja kuonana baada ya ndoa, yaani mkishaidhinishwa kuwa ni mke na mume halali...ndo maana linaitwa tendo la ndoa, vinginevyo ni ngumu kujua.

Ugomvi hauchagui silaha. Ameamua kukutukana kwa kitu ambacho kitakuuma zaidi. Ila wote mmeyataka. Inakuwaje mnaishi maisha ya ugomvi even before marriage? Na hatujuhi maisha yote ya ndoa yenu mlikuwa mnagombana kuhusu nini. Kuna mengi nadhani hujaweka bayana ila umeshare na sisi hili lilokuumiza. Unajua ukigombana na mtu na kama ugomvi unaujua hasa basi uta hit where it hurts most. Sikushauri umuache mkeo wala umrudie. Nyie wawili ndio mnajua chanzo cha magomvi yenu and whether yanaweza kuwa solved or not. Kama mmegombana for all those years unadhani kwa nini ameamua kukutukania maumbile leo??? Je na wewe una amini alilokuambia??? Sitegemei unijibu ila kwa ufupi kama ni kweli basi mkeo alitaka kukwambia kuwa hakuna atakaye kutaka kama ukimwacha yeye which is not true.

tatizo wanawake wengi siku hizi wamezidi umalaya hawatunzi nyeti zao kabisa kwani huzigeuza kuwa public hadi kupelekea kuwa mabwawa akija kuolewa anaanza kushusha mituhuma kwa mumewe..NAKERWA SANA/ kaka upo fiti asikutishe huyo mwanamke

Pole sweetlol
toka mwanzo hakuona hilo tatizo.......hiyo ni silaha ya kukuchanganya......isikutie hofu cause umesema wasichana wa nyuma hawakuwahi kukwambia hilo sasa wasiwasi wa nini

Hiyo nyekundu:

Asingeweza kujua kwani maumbile mnakuja kuonana baada ya ndoa, yaani mkishaidhinishwa kuwa ni mke na mume halali...ndo maana linaitwa tendo la ndoa, vinginevyo ni ngumu kujua.

siku hizi watu wanajuana in advance. Lol.

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…