MduduWashawasha
JF-Expert Member
- Mar 5, 2008
- 1,653
- 603
Dahh pole sana..
Labda ye ndo mwenye tatizo
Kwenye maumbile..
Nimependa sana hii!!!Dahh pole sana..
Labda ye ndo mwenye tatizo
Kwenye maumbile..
Sasa ikiwa ameambiwa ni ndogo anataka kuongeza, nahofia baadaye akaja kuambiwa ni kubwa.Jamaniii...mbona mnakimbia swali na dukuduku la mtoa madaa?..je kuna means za kuongeza nyeti fupi??...
Maana yeye keshakubali ki-saikolojia kuwa dongo alopigwa kuwa ana nyeti ndogo ni kweli na solution anaona ni kuiongeza ila hajui kama dawa zipo...
Nakujibu mtoa mada.
Ndio...dawa zipo tena za aina 2
a) kienyeji au za kiafrika
hizi zipo za aina nyingi ila nayoikumbuka na nilowahi kuitumia ni ilee ya kuchanjia dodoki katika kichwa cha uume na hii tuliifanya enzi hizooo tukiwa na 7-9 yrs tukiwa tunasoma shule za msingi..
Angalizo.. Ukishachanjia unahakikisha dodoki lako umelitia alama vizuri na kufuatilia ukuaji wake maana ukijishahau tuu uume unakuwa kama wa punda oversize...pia wapo waganga wa jadi kibao wanaolimudu suala hili kiraisi tuu
b) kigeni au za kutoka nje
hizi zipo toka ulaya na marekani na pia zile za ndugu na jamaa zetu wa uchina..
Sina sana uzoefu nazo ila niliskia radioni jamaa m1 alitumia mashine ikaongezeka uzito mpaka kg 15 akaanza kuomba msaada akapunguzwe size huko india kwa operation na inasemekana ukipasuliwa machine inakuwa haisimami...
do the math take the risks
Usinunue midawa ya kuongeza utajuta, we jitahidi tu kaka kutafuta mbinu za kumridhisha hivohivo ulivyo, google
mnh mbona wakaka wengi waliochangia hii topic wamekimbilia moja kwa moja kuwa huyo dada ana 'kubwa'?? jamani eeeh vibamia vyenu ni ishu tunavivumilia tu...
wewe kaka mtoa mada ndoa ni compromise,anakuvumilia na kibamia chako na wewe unamvumilia magomvi yake ukishindwa katafute mwenye ndogo atakayeridhika na maumbile yako.......who are very few to find,wengi watajifanyisha tu kinafiki kuwa hicho kibamia kinamridhisha na frustrations zake atazitoa elsewhere kwa kuwa na kidumu pembeni....
sio lazima uwe na mke kaka km yamekushinda kuwa tu na company ya kike huku ukiwa focused zaidi na malezi ya wanao....count your blessings wanawake wasikufrustrate....
kumbe wewe ni he??? Daaah utanisamehe, mi huwa nadhani wewe ni she! Pole sana kwa misuko suko ya ndoa... Endelea kusubiri watakuja wataalam kukupa ushauri zaidi.
Mlikutana kwenye Internet nini? Au mambo ya club na kumvuta, kumbe yeye kazoea zenye madawa ya kichina?Nnamiaka 34 nilioa 2007!nnawatoto wawili.mke wangu amekua tatizo tangu sikutumeoana,baada yakuoana nae week 3 tu nilianza kujuta mpaka tukakutafuta talaka.tumekua tukigombana mara nyingi mpaka anarudi kwao tunasuluhishwa tunarudi tena.mwez wa 6 alinitukana sana na maneno machafu mengi nikanyamaza,baadae nnlimuomba aende nyumban akasalimie alivyoondoka nakufika nilimwambia sitaki kumuona tena afundishwe kwanza maana ya mume then atafute mume mwingine aishi nae,.jana sasa aliniomba arudi nyumban nikamwambia nimevumilia vyakutosha mahusiano yetu yameshaisha kitambo hata kama tulifunga ndoa kanisani ila hii imenishinda. nilikua sio mnywa pombe mpaka nikaanza kunywa.baada ya kumtumia message akaniambia.AMEKUA AKINIVUMILIA SANA NA MAUMBILE YANGU MADOGO LKN NIMEMUONA HAFAI.SASA NAJIULIZA SABABU NDO ILIKUA HIYO NDO MAANA ALIKUA ANANIDHARAU?
naombeni ushauri nifanyaje juu ya hili coz mwanamke huyu sinahamu naye tena yaani namuona kama mwanaume mwenzangu sasa.Je haya maumbile yangu yanaweza niletea shida nikipata mwanamke mwingine sababu sijawihi toka nje ya ndoa yangu na wanawake wote wanyumba hawajawahi niambia hili?je nnaweza kuyakuza?
1. haina haja kabisa ya kuikuza hiyo bolt yako kwani yawezekana yeye ndiye mwenye caldera badala ya kuwa na crator; mwambie yeye akapunguze kwanza ya kwake ndio mrudiane na kama hawezi basi Mungu ndiye aliyeumba na wala haukuchagua wewe mwenyewe!
2. ulitakiwa kuwa na hii information 'a map of a woman' then ungeelewa kuwa 'ukubwa wa pua si wingi wa kamasi'. Angalia attachment.