Eti kufumaniwa ni hatari?

Eti kufumaniwa ni hatari?

Shocker

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2012
Posts
1,958
Reaction score
3,890
Nauliza tu na kama yamekukuta iwe mke au mume tuwekee mbinu ulisalimika vipi ?
 
Ndiyo, tena ni hatari sana. Kaa mbali!
 
Mengine sio mpaka ya kukute,we fikiria tu ndio umemkamata mgoni wako,utamfanya nini, angalia akili zako na ustaarabu wako, sasa ujue ndio kuna watu wengine ni fyatu zaidi yako, inawezekana wakakutenda vibaya zaidi ya ww ulivyofikiria kumtenda mgoni wako.
 
Yaani wanaume wajinga sana mke wako kwa akili zake mwenyewe kampa jamaa mbususu alafu wee unaelekeza nguvu zako kumpiga jamaa baadala ya kumdunda mangumi mke wako....aisee
 
Siku yakikukuta ndio utajua kuwa ni hatari ama salama
 
Usijaribu kwa shingo makali ya upanga,,,Sumu kwa kuilamba,, au kuimba huku unatafuna karanga - FidQ

Nisiseme sana ila ukifumaniwa U T A F I * W A,, Na vilainishi ni bidhaa za Nivea...

Acha kuwaza Ujinga... Usiweke rehani marinda kipuuzi...Tunza marinda kuliko unavotunza uhai wako..

Thank me later.
 
Mnabezi upande mmoja tu,kwani wanawake hawafumanii ,inakuwaje hapo ?
 
Yaani wanaume wajinga sana mke wako kwa akili zake mwenyewe kampa jamaa mbususu alafu wee unaelekeza nguvu zako kumpiga jamaa baadala ya kumdunda mangumi mke wako....aisee
Hii nayo point ,maana wanawake wengine ni zaidi ya mashetani anaweza kukwambia kama hujamnanihino atakusingizia.
 
Mi nilikua najua tumeachana.

Nikatafuta mdada mwingine tuendeleze gurudumu.

Sasa jioni moja hivi mwanga ni wa laptop na sauti ni ya sub woofer nipo na mpya nasikia hodi.

Nikaenda kufungua.

Akaingia wa zamani bwana.

Alivyofika tu kwanza ila laptop ilikua chini akaikanyaga.

Akamrukia mpya. Nikawaachanisha. Ndoo za maji zilikua mulemule akamwaga maji ndoo zote ile laptop ikawa inapiga mbizi.

Nikaiwahi kutoa battery.

Nageuka nakuta kaondoka.

Lile tukio lilisababisha niziheshimu sana laptop za Dell imagine pamoja na kukanyagwa na mbizi ila haikuharibika.

Hiyo nipo form four.
 
Unachotaka kukifanya acha usifanye..shauri yako
 
Back
Top Bottom