Nauliza tu na kama yamekukuta iwe mke au mume tuwekee mbinu ulisalimika vipi ?
Hii nayo point ,maana wanawake wengine ni zaidi ya mashetani anaweza kukwambia kama hujamnanihino atakusingizia.Yaani wanaume wajinga sana mke wako kwa akili zake mwenyewe kampa jamaa mbususu alafu wee unaelekeza nguvu zako kumpiga jamaa baadala ya kumdunda mangumi mke wako....aisee
š¤£walikuacha salama?Sitaki kusimulia hapa ila Usiombe likukute