Njilembera
JF-Expert Member
- May 10, 2008
- 1,496
- 609
Nimesoma Habari leo! Mwandishi Steven Peter ameanika wazi kuwa Mbowe ndiye aliyetangaza kumwaga damu kama Chadema isingechaguliwa. Nakumbuka Mh Dr Slaa akiwapa changamoto mjeshi amkamate aliyetoa kauli hio lakini Shimbo na wenzie wamejimumunya tu mdomo. Kumbe wanajua nini kilichotokea, najiuliza kwa nini hawakumsikiliza Slaa wakamkamata!?
Lakini jana Mbowe alnusura apate shida kubwa huko kwake Hai, Green Guards walimfanyia vurugu. Sasa nielewe vipi. Steven analalamika kwamba Chadema wamezidi kulalamika.
Ah someni hapa HabariLeo | Chadema uzushi, malalamiko havina tija
ha!ha!ha!... ulijuaje?uliwachungulia?dahh wana hatari kweli kweli sasa kwanin hawavai jaman?wadudu wakiwauma?mmh jaman ntalia mie yan hawavai .......???heeeeee mistaki jaman!!!!Waandishi wa Habari Leo na Daily News huwa hawavai *h**i. Wala usiumize kichwa kuwafikiria.
Kama malaria suguNani kasema Habari Leo ni gazeti? Hicho ni kipeperushi cha Chama Cha Majini AKA CCM.Achana nacho , wanasoma wale mandondocha wa JK
Nimesoma Habari leo! Mwandishi Steven Peter ameanika wazi kuwa Mbowe ndiye aliyetangaza kumwaga damu kama Chadema isingechaguliwa. Nakumbuka Mh Dr Slaa akiwapa changamoto mjeshi amkamate aliyetoa kauli hio lakini Shimbo na wenzie wamejimumunya tu mdomo. Kumbe wanajua nini kilichotokea, najiuliza kwa nini hawakumsikiliza Slaa wakamkamata!?
Lakini jana Mbowe alnusura apate shida kubwa huko kwake Hai, Green Guards walimfanyia vurugu. Sasa nielewe vipi. Steven analalamika kwamba Chadema wamezidi kulalamika.
Ah someni hapa HabariLeo | Chadema uzushi, malalamiko havina tija
Ukipata maneno yake ya kabla ya kauli hiyo au baada utapata ukweli watakuwa wameyachakachua....Siamini kama kuna kiongozi hapa tanzania anaweza kutoa kauli kama hiyo awe Chadema, CCM, CUF"Iwapo hatutatangazwa washindi katika uchaguzi mkuu ujao, Tanzania hapatatosha na tuko tayari kumwaga damu,"