[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Wapo vbonge wabinafsi hatareee sanaWana roho mbaya!,..ila ni tabia ya MTU,mi nilikutana mabonge wengi ni wabinafsi,wakatili,wachoyo..ila c wote
Hahahahahaha!Mwanamke mwembamba akisimama ukutani utasema kreki , siwataki!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwanamke mwembamba akisimama ukutani utasema kreki , siwataki!
Moyo upo karibu na mifupa hata upepo ukivuma na moyo unaumia. Jambo hili husababisha kununa muda wote.
Mtera bwawa au kisima?Nasikia huwa wana mtera tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Acha roho mbay wewe.Moyo upo karibu na mifupa hata upepo ukivuma na moyo unaumia. Jambo hili husababisha kununa muda wote.