Eti kuna ngo's inaitwa high learning students support fund( hlssf )?

Eti kuna ngo's inaitwa high learning students support fund( hlssf )?

chipande

Member
Joined
Oct 4, 2012
Posts
12
Reaction score
2
kama kuna mtu yeyote ameshawahi omba mkopo na akapata naomba nijue, coz hapa mjin wajanja wengi mdogo wangu aliomba mkopo mwaka jana serikalini hakupata now anataka a jaribu ktk h NGOS hyo niliyoitaja hapo juu. kaniuliza nimeshindwa kumpatia jibu,nikasema ngoja niwaulize wasomi wa JF. kwamba hi ni ya ukwel au magumashi iko k/koo. NASUBIRI JIBU
 
Back
Top Bottom