Eti kuna watu bwana wananiuliza huyu ndo nani??

Ngareroo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2019
Posts
2,123
Reaction score
2,449
Kuna watu bhana wanauliza huyu WASSAPE ndo nani??Mbona Issac Newton,Vasco Da Gama,Christopher Columbus unawajua?Sasa utaachaje kumjua huyu mwana!?






@NgarenaroBoy.
 

Attachments

  • ah.jpg
    32.9 KB · Views: 35
Yaani huyo ni wewe?[emoji849][emoji849]
 
Yaani huyo ni wewe?[emoji849][emoji849]
Ata siku moja haiwezekani mamiloo.!!Me sijafika ata miaka 23,,huyu WASSAPE ni mtu mzima kabisa..Huyo kwenye avatar ndo mimi.
 
Yaani huyo ni wewe?[emoji849][emoji849]
Uyu chalii ni Producer pia ni Artist kutoka uko Kibaha sijui Bagamoyo!!Sasa alikuja apa chuoni kwetu Chuga tukamfanyia interview kwenye kiredio chetu iki cha Chuo...Me bado mwanafunzi mamilox alaf niko below 23..Muulize Fred Saganda wa Rafael alikuepo nda mwana ake.
 
Hata sielewi ngoja nisepe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…