Eti kutembea kifua wazi ni kuwatamanisha watu?

Hahahahh
Ndio Mkuu Unatamanisha Wanawake
Hata hivyo Sio Ustaarabu ni vile Mumezoea tuu. Binafsi Sijawahi tembea kifua wazi tena huku nimeweka T-shirt begani Naona ni Usela Mavi Aisee
.
Kwahiyo, Ndio hayo ni makosa
Waislamu mafundisho yao yanakataza hapo unakua uchi
 
Kwani unaishi wapi? Mpaka wanaona hicho kifua chako wazi? Mimi toka asubuhi nimeshinda na khanga ya kifua nyepesi laini na hakuna aliyeniona.

Sasa fikiria ndo ningekuwa naishi maeneo ya kwako.

Kawaida ukiwa home kujiachia mimi siwezi kujibana aiseeee kikanga changu au mtandio.

Lakini ni vyema kuangalia mazingira kama una familia au umepanga nyumba wengi na kina mama Mwajuma pole sana badili utaratibu uvae hata singlend
 
Una hatari

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hili ni tangazo?


Mods pigeni pini huu uzi...
 
Haaahaa! Natamani ungekuwa jirani yangu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haya maandishi bila picha ni uzushi tu [emoji125][emoji125][emoji125]
 
Jamani na ili joto la daa,

Eti wanasema nawatamanisha nkitembea kifua wazi.

Kwani ni makosa jamani eti??
Yawezekana una Matiti yamejaa makubwa ...?



Yawezekana ni Mashoga ndio wanavutiwa ?.

Yawezekana ni wanawake ?.



Kwan wee ni Ke au Me ?.
 
Unadhani sijakuona bibie na khanga yako laini
Umeniharibia siku yangu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Inategemea km kizuri wata tamani lkn km kifua cha ki dot! Na ukurutu akutake nani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…