Civilian Coin
JF-Expert Member
- Dec 2, 2012
- 2,305
- 4,380
Kwa mzungu kule segerea ipo wapi nataka kwenda kuogelea na kucheza mziki
Stakishari kule karibu na airport?Karibu na polisi stakishari! Ila alhamisi ndo panakua patamu sana
Unataka ukaogelee sahizi Mkuu? Hilo jina linatupa mashaka,isije ukawa unataka kujimaliza!Nyie watu
weka pichaKaribu na polisi stakishari! Ila alhamisi ndo panakua patamu sana