Nchi hii mashabiki wengi wa mpira ni Yanga...sasa kama unataka wasiingie uwanjani sawa kwani watakaokosa mapato ya mechi ni ninyi Simba...Yanga pia ndio wanunuzi wakubwa wa magazeti ya michezo ...wauulize wahariri wote kwenye vyumba vya habari vya magazeti watakwambia ukweli..Yanga ikishinda magazeti mengi hununuliwa ila Yanga ikifungwa ununuzi wa magazeti hudoda...Ndiyo maana Yanga ikiwa haifanyi vizuri wahariri hutafuta vichwa vya habari angalau vya kuvutia ili angalau kuwavuta wanunuzi....kwa ufafanuzi zaidi Yanga ni timu ya wananchi, wengi wao ni watu wa kawaida sana ingawa ni kweli mashabiki wake wengi ni mchanganyiko, lakini walio wengi ni mashabiki wenye kipato cha kawaida...Fanya utafiti katika watu kumi nchini...sita au saba lazima wawe ni Yanga... ...
Hahahaha jf sihami ng'o!!swadakta .... mejuaje weye jambo hili? mi natokea pemba. nipo hapa dar nafanya biashara.karibu sana nyumbani yakhe.. nawe watokea pemba? mi nkazi wa chake chake..... siye ndugu ati. nawe nshabiki wa simba au yanga? kwa kweli mi naangalia sana game za simba hii team yacheza sana.... lakini simba waanza kutubania sisi wanayanga ati tusiende wanjani kuangalia games zao.hii mimi nshatesa sana leo nkaona bora nseme ili kama yeshe yeshe tu rohoni niwe na amani. mi shekhe nnapenda mpira sana hivyo.
Wouzeeerrr hakuna kama chama [emoji91][emoji91]Jana niliamua kwenda Banda-Umiza mechi ya Simba ilikuwa inaoneshwa sambamaba na mechi ya elclassico Barcelona vs Madrid na man utd Vs Everton chaajabu Kwa soka lilivyotandazwa na akina chama ukumbi mzima ulisimama na kulazimisha Simba ioneshwa kwenye big screen 2 man utd ikatolewa!
Hakika Kwa simbaa hiii kuna timu watakuja kuweka Mpira kwapani walahii!