Eti kweli bandarini kunanafasi za kazi

Eti kweli bandarini kunanafasi za kazi

POLITE MAN

Member
Joined
Oct 14, 2011
Posts
41
Reaction score
7
Habari zenu wana jamii,
naomba kupata info kwa mwenye uelewa juu ya hili; nimesikia rumansi eti bandari kunanafasi ziko wazi isipokuwa vigogo wanasubili watoto na ndugu zao wamalize masomo ndio watangaze izo nafai kwani inasemekana wengi richa ya nafasi kuwa wazi lakini wengi wanaofanyakazi ni wazee wanaoelekea kustafuu lakini nafasi bado awataki kuzitangaza, tujuzeni wanaolijua hili
 
Back
Top Bottom