Eti kwenye kumi bora za matokeo kidato cha nne kuna wa hizi shule zetu za kata?

ASCUDA T

Senior Member
Joined
Sep 10, 2013
Posts
120
Reaction score
33
Nauliza Kwa Kuwa Mh Shule Zenyewe Hazina Walimu Wa Kutosha, Madawati Hayatoshi, Hakuna Maabara Wala Maktaba, Walimu Wanalipwa Ujira Mdogo Na Hakuna Nyumba Za Walimu. Mi Kwanza Nafikiri Mafisadi Wa Ccm Watoto Hawasomi Huko Eee Ndiyo Wanasoma Saint Na Wengine Wapo Nje Ndo Maana Wanazizarau Za Kata. Ki Ukweli Utawala Wa Ccm Ni Mabingwa Wa Ubaguzi Na Matabaka. Eti Wamesahau Kura Huwa Tunawapa Sisi. Cccm Wana Ubaguzi Na Matabaka Lakini Acha Tu. Watanzania Tuamke Jamani Sisi Tutakuwa Vibaraka Wa Ccm Mpaka Lini. Tufikiri Sana Tunapotaka Kupiga Kura Na Umakini Mkubwa Unahitajika. How Dare U Ccm?
 
Nini? Hata sijui kama nimekuelewa
 
wewe ni mpiga kura kweli..au msindikizaji
 

Pole sana, ila usikate Tamaa, kapate ushauri nasaha urudie mitihani uingie Top ten, Mungu ni wa wote sio Marian Girls pekee!
 
Panua wigo wako wa ulinganishi, weka 100 bora
 
You need to refrem your topic and don't mixup things you "ll comfuse yourself

Ndani ya maelezo yako unaweza kuwa hoja za msingi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…