Eti leo nawakataa wanawake, nilivyotesekaga na ugwadu katika balehe

Mtetezi.com

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
3,134
Reaction score
3,584
Ebhana kwa wadau wa JF ambao ni wahenga kidogo waliokuwa kwenye balehe miaka ya 80 na 90, watanielewa ipasavyo!

Miaka hiyo bhana kupata demu haikuwa issue bali issue ilikuwa kumla huyo demu. Nakumbuka nimesoma na demu wangu form1 to 4 bila hata kumla denda.

Kila siku sound kesho; mara Ijumaa, mara Jumamosi, mara Jumapili mpaka miaka inakata.

Vijana waliobalehe miaka ya 2000 kwao imekuwa kinyume kwani wanawake wamekuwa rahisi mno kiasi ya kwamba unapagawa uchukue yupi uache yupi!

Miaka hiyo ilikuwa hata ukiona nguo ya ndani ya mwanamke usiku unaiota na unamaliza kabisa.

Niliwahi kuambiwa na baba yangu hayo mambo usiyaharakie utakuja kuyachoka na kwa jinsi nilivyokuwa na uchu na hamu niliwahi kuapa kuwa sitaweza kumchoka mwanamke mimi kwa jinsi ninavyoteseka na ukame na ugwadu na niliahidi siku nikioa nitaua.

Aisee huwezi amini kwa sasa hawa watoto wa kike wanavyosumbua, tena hawataki pesa wanataka status yako tu ajisikie ana_hang out na mtu fulani.

My take to youngsters:

Msipaparikie wanawake watawaumiza sana kwa sasa, tafuteni pesa watawatafuta wao, tena hawatataka pesa bali hadhi zenu.
 
Kama msg zako umezifuta ili uscreenshot utuletee pumba zako hapa?
Mwandiko wa huyo demu wako unareflect na wewe jinsi ulivyo.
Be smart man [emoji125]
Ukisoma vzur text zake na ya mwisho utaelewa usipoelewa sikulazimishi itakuwa ni rubish tu kubishana na non comformity
 
Eti "fanya maajabu"!! na dume zima unakua zoba na kutuma mwamala.

Kuna mtu humu keshapata gia ya kumchuna danga wake tayari.
 
Kwa haraka haraka umekimbia gharama hapo..Ungethibitisha badae umwambie huhitaji hayo mambo
 
Kuna mmoja kila mara anaumwa, huwa namwambia pole, kwani sitaki kuuliza anaumwa nini, na ukimuuliza kwanini hajaenda hospitali labda kung'oa jino, atakwambia hana hela.
 
Dunia inabidilika na watu wake...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…