Eti leo ni Eid pili au niendelee kulala?

Eti leo ni Eid pili au niendelee kulala?

... I think katika jitihada za "kubalance" dini mbili kubwa nchini zilitakiwa kuwa na siku sawa (4) za mapumziko kitaifa. Dini moja wana Ijumaa Kuu, Jumatatu ya Pasaka, Krismasi, na Boxing Day - hizo ndizo siku za mapumziko kwao na kwa taifa.

Dini nyingine wana Idd (el-Fitr) Mosi, Idd Pili, Maulid, na el-Hajj; hizo ndizo siku za mapumziko kwao na kwa taifa. Kila siku huwa najiulizaga hizo siku nne kwa kila dini zilikuja just by coincidence au ilikuwa planned?
 
Leo ni maombolezo ya kitaifa kwa ajili ya ajali ya Moro.
Maombolezo hayo yanaanza Leo na ni siku 3. Hivo lala
 
Back
Top Bottom