Eti liverpool ndio bingwa wa EPL 2019/20? (msijidanganye)

Ata Man United anaweza Bingwa... Kimahesabu ila hadi Sasa Liverpool ananafasi kubwa ya Kutwaa ubingwa ukiangalia form ya timu, wachezaji na manejimenti kwa ujumla wanaonekana wapo very strong

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah kumfunga leicester jana ndio unakuja na conclusion kabisa kuwa yeye n bingwa kumbuka Liverpool n klabu bora dunian kwa sasa wao hawaangalii mpira mzur kwao ushnd n kila kitu hata Jana kuna mpuuz aliitabiria kutochukua klabu bingwa dunia lakn sote tiliona nn kiltokea

Kwa sasa wachezaj wasLiverpool wanajua nn maana ya ubingwa wacheze VP ili washnde nakuhakikishia liver atabeba ndoo kabla ya mechi tatu za mwisho

#Liverpoolbabalao

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwa muda mrefu hii imekuwa ikimsumbua klop ndio maana gainali nyingi kapigwa but sasa hivi kajua acheze VP ili aweze kushinda kikombe na nfio maana sasa hivi anashonda tu vikombe
 
tuombe uzima tu, tutakutana hapa mwezi mei. hii ni december
 
Kuna mtu mlimpa jina Mungu, mnafikiri hiyo laana itawaacha salama? Labda iwe walishafanya maombi pale anfield na yale majivu yakakondolewa!otherwise mtabaki mkisema "you will never walk alone"
 
Mwenzio huyo, chizi kama wewe
 
Na utaumbuka kweli kwa kujitia sheikh yahya,we ishia kutabiri mvua
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nan billy shanky! Huo n mwamba mkuu na hstujawah muita Mungu labda mungu sawa
Kuna mtu mlimpa jina Mungu, mnafikiri hiyo laana itawaacha salama? Labda iwe walishafanya maombi pale anfield na yale majivu yakakondolewa!otherwise mtabaki mkisema "you will never walk alone"

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna mtu mlimpa jina Mungu, mnafikiri hiyo laana itawaacha salama? Labda iwe walishafanya maombi pale anfield na yale majivu yakakondolewa!otherwise mtabaki mkisema "you will never walk alone"
Na Man U sijui ndo inawaandama hio laana mana wanasema MAN U IS A RELIGION.
By the way mbana liverpool wanachukua makombe au umekusudia lipi ambalo lina laana hio. May 2019 walichukua UCL, august super cup na jana WC

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…