Akili za aliyeweka ujumbe kwenye bango ni za kuvukia barabara, kwa hiyo mnatuambia tunatakiwa kuweka jiji safi kisa Mama yenu kasema ila vinginevyo hamkuwa na mpango wa usafi.
Mbongambonga, mnaona mnavyotuwekea viongozi viazi kwenye ofisi za umma, hawana fikra wala mipango mpaka mama yao aseme, angekaa kimya jiji lingebaki chafu kama lilivyo.