Why now...🤔Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya
View: https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6
If you can't fight them.. Join them!?😪🤔Watajuana wenyewe
Mbona kama amelamba asali.?Eti Mama ndiye anashutuka! washauri wako wabaya. Mungu ameshapiga nyundo Raisi Samia too late umejiweka mwenyewe kwenye mazingira haya
View: https://www.youtube.com/live/CmYthkEFnmI?si=oHy3mVK8RZUyxff6
😂Nani atajoini hapo sasa mkuuIf you can't fight them.. Join them!?😪🤔
Habari za hazina sitaki hata kuzisikia.. Heri yako wewe ni salary.. Suppliers wako kwenye maombolezo😂Nani atajoini hapo sasa mkuu
Mi salary ndiyo nimepata jana....nilitamani ungekuwepo uokoe jahazi...ikabidi niuze kuni niendelee kuishi😓
Yaan inamaana hazina nayo kwishineyi,au mtandao tu ulicheza?
☹️ Tanzania yetu🤕Habari za hazina sitaki hata kuzisikia.. Heri yako wewe ni salary.. Suppliers wako kwenye maombolezo
Tanganyika☹️ Tanzania yetu🤕
Hakika hakikaTanganyika
Mbowe alianza hivihivi.Mbona kama anaongea kilaini sana. Angekuwa anaongea hivi siku zote angeshapewa hata uwaziri wa Sheria.
Ubishiubishi haulipi
Yeah sure kabisaa aisee. Juz nilikua namsikia mzee wangu analalamika kwenye certificate ya malipo aliyoomba kulipwa, out 0f 235M wamemuingizia only 28M ma mradi wa barabara umesimama.. Suppliers wako kwenye maombolezo